Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?

Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
 
Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
 
Nimesoma heading tu. Kwa mawazo Yako kipi ni rahisi kati ya hayo. Kutuma salamu za pole au kutekeleza preventive measures
 
Tujiulize sote kwa tuwepesi kuchangia harusi na misiba lakini ni wazito sana linapokuja suala la matibabu.
 
Basi sawa wacha wanuke.ili pia uje kuhoji kua serikali iko wapi watanzania wamekufa maiti za Nuka.
 
SERIKALI YETU NAAMINI INAPAMBANA KUYAZUIA MAJANGA eg. Serikali imekuwa inawa tahadharisha wanachi kuhusu mvua ya mafuriko n.k

SERIKALI INAJITAHIDI KWAKWELI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Tuombe mungu mlisho mpoto na wezake ,waazishe uhamasishaji kuzuia ujenzi kwenye mabonde ,milimani na nje ya mto msimbazi

Baada ya kampeni ya NYUMBA ni CHOO chamoto hapa wananchi wamekipata na kama bank ya dunia ndo iliwambia wafanye vile mungu anawaona
 
Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?

Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
Kuzika maiti ni

Mbona jibu liko wazi mkuu🤣🤣🤣🤣kuzika maiti ni "cheapest"
 
Back
Top Bottom