Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili kubwa.
Jambo la pili wenye akili kubwa siku zote wanataka kufika mbali na ili wafike mbali lazima waogope rushwa na matendo yaliyo kinyume na maadili.
Lakini swali lakujiuliza, kama serikali inapiga vita wenye akili itapigaje vita maradhi na umaskini? Haiwezekani wenye akili wakapatikana kwa kufanya usahili kama Kenya? Kenya kama wewe ni mbulula huwezi kuteuliwa popote mwenye utumishi wa umma. Sisi kwetu kwanini tunategemea vetting za siri zinazozalisha wasio na akili na kuwapa nafasi?