😂😂😂Weka picha inayokatazwa
Hiyo taarifa ni kweli, hata pale ferry kwenye stand na ndani ya kivuko chenyewe nimarufuku, na mgambo wako makini na hilo.Acha tabia ya uongo[emoji41]
Ni kawaida hata Mtera ni marufuku kupiga picha
Ni rahisi sana kupiga picha nje ya Ikulu ya white house ila bongo hata kwenye mabasi ya mwendo kasi wanazuia.Ni kawaida hata Mtera ni marufuku kupiga picha
Weka uthibitisho😎Hiyo taarifa ni kweli,..
Smart in reverse!Weka picha inayokatazwa
🤣🤣🤣Weka picha inayokatazwa
Ni sababu za kiusalama tu, Elimu yake hutolewa shule za msingi!Mkuu anataka kupewa sababu kwa nini mtu huruhusiwi kupiga picha maeneo hayo? Sio tu eti ni kawaida hilo sio jibu, Mpe jibu
Lengo ni kuzia Makaburu wasije wakapiga picha ili wakayasome na baadaye kuja kuyalipua. Si unajua Tanzania ndiyo nchi iliyo mstari wa mbele katika kusaidia nchi za kusini mwa Afrika katika kupigania Uhuru wao.Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini?
Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini?
Au kwa kuwa wanajenga kinyume na quality ya mwanzo ili wapige pesa ndo maana hawataki watu wasipige picha. Serikali tunataka maelezo
Hiyo taarifa ni kweli, hata pale ferry kwenye stand na ndani ya kivuko chenyewe nimarufuku, na mgambo wako makini na hilo.