johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Range Rover marufuku BoTNi rahisi sana kupiga picha nje ya Ikulu ya white house ila bongo hata kwenye mabasi ya mwendo kasi wanazuia.
Kama kuna jambo ambalo linaweza kukuza utalii wa ndani na nje ni kupiga picha kwenye iconic premises kama daraja; unaweza kukuta sheria za marufuku ziliwekwa wakati wa Nyerere wakati wa vuguvugu la ukombozi wa kusini mwa bara la Afrika ila mpaka leo akili za wafanya maamuzi wanachojua ni "marufuku"