Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

Range Rover marufuku BoT
 
Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini?
So kwa kuwa umelipa kodi ndio urugusiwe kufanya kila unachotaka?

Ikulu ile pale imejengwa kwa pesa za kodi yako, nenda kaingie pale, achilia mbali kupiga picha.

Sometimes shughulisha akili yako vyema.
 
Dah! Wabongo bhana. Hivi wewe ukinikuta ninaipiga picha nyumba yako bila ruhusa/kibali chako utafurahia? Ww ngojea likikamilika siku ya kukabidhiwa upige picha.
BTW: Hiyo picha ni kwa matumizi/malengo gani???
 
So kwa kuwa umelipa kodi ndio urugusiwe kufanya kila unachotaka?

Ikulu ile pale imejengwa kwa pesa za kodi yako, nenda kaingie pale, achilia mbali kupiga picha.

Sometimes shughulisha akili yako vyema.
Suala kwa Dunia ya sasa hivi kunashida mtu kupiga picha.Kama baba zako wanaona kwamba watanzania kupiga picha na kuonyesha nakufurahia Kodi zao ni Zambi basi wambie wasitwambie kulipa kodi.ni ushamba mkubwa sna kwa technologia ya sasa hivj
 
Sio kila jambo ni la kufungulia uzi waulize wahusika waliokuzuia!
 
Sio kila jambo ni la kufungulia uzi waulize wahusika waliokuzuia!
Hawajilua wao nikuktaza kupiga picha..watu wa ovyo sana.China na nch mbalimbali tunaona madaraja harafu hapa wanaleta ushe zi au kwa kuwa kunawizi unafanyika wanaogopa kudhalilishwa kwa ushahidi baadaye
 
nani Kakutaza
Ukipga TU unakamatwa na mgambo WA ferry?harafu wanakuomba rushwa ya elfu hamsini..mie juzi nimewaambia wanipeleke mahakani ili nione Sheria inasemaje..wakaniacha
 
Adui yeyote akifahamu 'Engineering Formula of the Stretch Structure' itakuwa ni hatari katika mawanda ya usalama na uchumi kulengwa kwa hujuma, kwa hiyo wako sahihi kwa sasa mpaka daraja likikamilika litafungwa kamera za usalama na kikosi maalu cha kufanya doria chini ya miundo mbinu hiyo.

Nchi iliyobaki ya hatari sana kwa mambo hayo ni Rwanda ambayo inatamani sana kuwa na rasilimali kama za Tanzania ambazo inadai haijui namna ya kuzitumia kukuza uchumi maana Uganda ilikomeshwe miaka ya 1978-1980
 
Ukipga TU unakamatwa na mgambo WA ferry?harafu wanakuomba rushwa ya elfu hamsini..mie juzi nimewaambia wanipeleke mahakani ili nione Sheria inasemaje..wakaniacha
Nimeweka Thread Yangu Ya Busisi Umeiona
 
Ukipiga picha ukiwa kwenye kivuko hamna mtu anakukataza, Mimi mara kwa mara napiga sijaona kukatazwa.
 
Wanazuia kwa sabab za kiusalama... Ikitokea mmevamiwa na adui anafaham. Geogrohy ya Hapo ni rahis kukuzid maarifa...

Ni Sawa na sehem za kambi za jeshi huwez piha picha.. Au sehem zenye vinu vya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…