mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sawa unaziona.ukizikamata zikiwazimerudi kwao utakuwa na ushahidi
Zamani sio leo,kwenye ulimwengu wa tecnolojia ,sasa kama hio live update ya meli za uvuvi ,ipo flight radar zote hizi ni vitu live na ipo hata ya meli za mizigo,hio map inakuonyesha meli za uvuvi zinazoingia au tuseme zinazovua au zilizopo kwenye mavuvi,hivyo ukiangalia utaona meli zinafika hadi karibu ya Mtwara yaana wanavuka ile zone ya Tanzania na kuingia ndai kabisa kama ni wanavamia ni wavamizi,askari wetu wakifanikiwa kuzikama hizi basi tungekuwa tupo mbali.
Tatizo wanajiona wamefanya kazi kubwa wanapowakamata wenye madau na kuwachomea nyavu zao na kuwaharibia vyombo vyao,huku ni kujificha ,kazi ya kweli inawashinda.