Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Tupo katika dunia ambayo kwa sasa maendeleo ya binadamu, miundo mbinu na ya sayansi yamekuwa yakionekana kuwanufaisha watu hata kiuchumi. Hapa arusha msafara wa viongozi ni kero kwa wataftaji, mnasimamishwa saa 1 kabla ya msafara, kwann wasisimaishe magari na shuguli za barabarani dka 10 tu kabla ya msafara kupita. Toka jana imekuwa taabu, ukiwa msafiri waairport lazima utachelewa ndege, unawah kazini hesabu maumivu. Viongozi wanahitaji ulinzi ndio pia sisi watu wa hali ya chini waangalie maslahi pia kama hiyo misafara ya kusubiria masaa 2 yana faida kwetu.