Kwanini Shija R Shija anafaa kuwa rais wa TFF

Kwanini Shija R Shija anafaa kuwa rais wa TFF

Mkwanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,293
Reaction score
5,163
Toa sifa za Wagombea na useme kwanini unadhani wanafaa.
Huyu Hapa Shija R Shija 'MSHUA'

KWANINI SHIJA R SHIJA 'MSHUA' AWE RAIS WA TFF?
Soka la Bongo linanuka rushwa
He is a Solution

Soka la Bongo linaendeshwa kiubabaishaji
He is a solution

Soka la Bongo linaendeshwa na watu wale wale (viscous circle)
He is a solution

Soka la Bongo halihitaji mtu maarufu, linahitaji mtu Sahihi
He is the right Person

Soka la Bongo linahitaji mabadiriko Makubwa
He is the Change

Shija R Shija 'MSHUA' for TFF PRESIDENT 2017
 
Ally Mayay Tembele

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
He is solution eti
bila hata mikakati inayobainisha atatatua vip hizo changamoto!
Tutazid kuwa kichwa cha mwendawazimu

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Ally mayai tu

Hao wengine wakalime, kibiti mashamba yako wazi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
He is solution eti
bila hata mikakati inayobainisha atatatua vip hizo changamoto!
Tutazid kuwa kichwa cha mwendawazimu

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Kwanza tumechoshwa na usukuma!

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Naona unampigia kampeni mgombea wako mkuu...sio mbaya
 
haya bana au kwakuwa ni msukuma nini...tupe mikakati sahihi ili tujue kama ni chaguo sahihi...au kwakuwa umeona magufuli navofanya and you think shija gonna do the same...
 
Mkuu acha apewe tembele tu tuone, maana majungu yanayotembezwa uko eti ni mda wa watu waliocheza mpira,mwana akililia wembe apewe
 
haya bana au kwakuwa ni msukuma nini...tupe mikakati sahihi ili tujue kama ni chaguo sahihi...au kwakuwa umeona magufuli navofanya and you think shija gonna do the same...
Nachukia posts kama hizi zinazozungumzia ukabila! Tubadilike jamani. Mtu ahukumiwe kwa kukosa sifa za kuongoza TFF na siyo kabila lake.

Eti mtu mzima anaweza kusema: 'Huyu anafaa kuwa kiongozi lakini tatizo lake ni Mkara!' (J. K. Nyerere).
 
Shija anafaa kwa sababu "first thing first" ni Msukuma.
 
Ally Mayai tunavyompigia chapuo ingekua kura zinapigwa humu JF ingekua kashapita..lakini hatujui akili za wapiga kura zikoje.haya mambo bwana ni siri ya mtu
 
Nikifikiria unakuja na uchambuzi makini wa namna gani huyo mgombea wako atatatua hizo changamoto.
Lakini unatujia na kingereza chepesi cha "he is a solution".
Nilifikiri utatuambia nini atafanya kuondoa Rushwa, nini atafanya kuondoa urasimu, ukabila, ukanda na uzandiki ambao umegandamana katika soka la Tanzania!!!
Mimi nilifikiri ungetuambia hapa uzoefu wa huyu mgombea wako katika kushughulikia matatizo ya kimpira maeneo aliyopita. Mfano: ungetuambia, alifichua uozo wa rushwa baada ya kuingia madarakani huko mkuranga (mfano), au aliipandisha timu ya Kimbangulile fc daraja kutoka ligi daraja la nne mpaka ligi kuu alipokuwa mwenyekiti. Hivyo yani. Sasa wewe unatujia na bra bra zako za "he is a solution"
Jipange, pale siyo kolomije.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Nafuu ungeweka cv zake ungeeleweka naona unatokwa povu tu.
 
Soka hata huyo Ally Mayai hataweza....
Time will tell


Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
😵 🙄 😱 🙂 hmm! Naona wachangiaji wengi mnatoa maoni mkiongozwa na ushabiki tu...
Time will tell...
 
Back
Top Bottom