Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi. Leo naomba niliseme ili nyote mpate kulisikia.
Kati ya mashirika ambayo hayajaajiri tangu mwaka 2019 ni pamoja na TBS. Mara ya mwisho waliajiri mwaka 2018.
Nina uhakika kati ya mashirika yenye uhitaji mkubwa wa wafanyakazi ni pamoja na TBS pengine linaweza kuwa linamfuatia TRA kwa uhitaji. Sasa tunashangaa ndio shirika ambalo siku hizi halitangazi ajira tena.
Nini sababu.
Kabla sijaendelea ndugu msomaji embu rejea nafasi za kazi za mwisho kutangazwa TBS mwaka 2018.
www.ajiraleo.com
Itapendeza sana ajira za hili shirika zikirudishwa. Ni shirika ambalo hutoa ajira nyingi sana.

28 Job Vacancies at Tanzania Bureau of Standards (TBS) | Deadline: 11th October, 2018
Latest Education and Ajira Portal: Cheki Nafasi za Kazi 2025, Ajira Mpya Tanzania, Interview Tips, Scholarships, NECTA Past Papers, MATOKEO, SELECTION