Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

Tafiti upingwa kwa tafiti , Mwanza ni masikini sana hakuna aja ya kurefusha maongezi
 
Kuna hela huko ??
Almasi
 
Labda vile wanasemaga wasukuma ni washamba
Ndio kuna washamba. Na watu wakushobokea wasanii
wee jamaa umeiba wazo langu. ila fresh tu, umeandika kitu ambacho nilitaka kukiandika. [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Mwanza wasukuma bado washamba sana kuna wasanii wao huku wanaimba kisukuma yani wanapiga hela mbaya
Umeniwahi kabisa. Mimi naongezea tuu kuna washamba wengi so hata dudubaya akienda kupafom lazima ajaze. OVA
Kama ndo hivyo basi New york, Chicago, Miami, nk ndo kunawashamba wengi sana kuliko sehemu yoyote ile, make hujazana kwenye show za wasanii kuliko hata mwanza.
Hadi hapo imebainika ninyi ndo washamba, kwa akili yenu fupi kwamba Mwanza wakijaza shows washamba, na New York je?!!
 
Wee naye ni mshamba tu kama mimi, unaye amini kuwa WAZUNGU sio washamba!!!
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Si ndo kwa Wasukuma huko? Wao hununua na kushangaa kila kitu bila kujali ubora
 
wew ndo mshamba ambaye hujui kama na wazungu ni washambaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,wazungu ndo washamba kupitiliza ndo mana wanaweza kutoka kule kwao kuja huku kushangaa vitu vya kawaida eti kwa kivuli wamekuja kujifunza.
 
Wee naye ni mshamba tu kama mimi, unaye amini kuwa WAZUNGU sio washamba!!!
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
wew ndo mshamba ambaye hujui kama na wazungu ni washamba[emoji3][emoji3][emoji3],wazungu ndo washamba kupitiliza ndo mana wanaweza kutoka kule kwao kuja huku kushangaa vitu vya kawaida eti kwa kivuli wamekuja kujifunza.
Ushamba wenu mwingine hamjui hata maana ya 'mshamba'
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daah!
 
Sijawahi fika Mwanza ila Kahama siku ya kwanza kufika nilipapenda yani kupo kama Daslama tu kuna ile bar yao moja ipo karibu na stendi ya mabasi jina nimeisahau aisee iko poa sana yani nikiendaga najionaga kama vile nipo Daslama aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…