Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Hata nchi zilizo endelea kuna washamba bro,kubali au kataa ila kanda ya ziwa ushamba upo.Wewe acha roho za kimaskini. Si ushamba mtu kuangalia show. Vipi na wale wanaohudhuria show kwa nchi zilizoendelea kisanaa na wao wa shamba eeh
Kuangalia show ni suala la burudani na si vinginevyoHata nchi zilizo endelea kuna washamba bro,kubali au kataa ila kanda ya ziwa ushamba upo.
Atamnyosha nani wakati mi downtown kitambo na mishe zangu hazijawahi simamishwa na washamba kama nyieBas endeleen kunyoshwa
We huna akili kwa hiyo kwenda kwenye show ni ushamba, eti wa sanii wa kisukuma wanapiga hela kwa hiyo ulitaka wakifanya show huko vijijini watu wasiende eti kwa mjibu wako ni ushambaMwanza wasukuma bado washamba sana kuna wasanii wao huku wanaimba kisukuma yani wanapiga hela mbaya
We huna akili kwa hiyo kwenda kwenye show ni ushamba, eti wa sanii wa kisukuma wanapiga hela kwa hiyo ulitaka wakifanya show huko vijijini watu wasiende eti kwa mjibu wako ni ushamba
Man, wanaposema Mwanza usijikite pale mjini ambako of course, baada ya Dar, Mwanza kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa! Mnatambiwa na Arusha kwa sababu wa-Arusha wana ujanja ujanja fulani hivi wakati Mwanza ushamba ushamba bado upo sana!! Tukiachana na huo ushamba ushamba vs ujanja ujanja, tunaposema Mwanza unatakiwa kurudi hadi kule ndani vijijini ambako walikuwa wanategemea sana pamba, na pamba imebuma!mkuu epukana na propaganda za TBS...tanzania breau of statistics taarifa wanapika hao..,
back to the topic..Mwanza ndo mji ambao fursa nje nje...pesa ipo umasikini ukosekane dodoma kwenye nyumba za tembe uje Mwanza kweli? uwaache waha uje kwa wanangu wasukuma kweli?
Kahama ya nchi ipi inayoshindana na mkoa wa Dar es salaam?!Kahama ni wilaya, ila inashindana na.mkoa wa dar es salaam kuingiza.mapato ya nchi.
Niliwah enda kufanya mishe fulan pale kwa wiki tatu
Nikagundua wana Gest/Lodge na mahotel kibao na kina aina ya starehe.
Kuna Pesa kuna pesa kuna pesa kama wee ni mjanja na mwenye akili.
KUNA UKIMWI KULIKO WILAYA YOYOTE TZ KWA SASA
Jf waweke na kisehem cha kudislike, comment zingine zimejaa ujinga pak mtu anaona dhambi kuignore.Mwanza wasukuma bado washamba sana kuna wasanii wao huku wanaimba kisukuma yani wanapiga hela mbaya
Usiwataje waha kwa mambo ya kijinga we are the bestmkuu epukana na propaganda za TBS...tanzania breau of statistics taarifa wanapika hao..,
back to the topic..Mwanza ndo mji ambao fursa nje nje...pesa ipo umasikini ukosekane dodoma kwenye nyumba za tembe uje Mwanza kweli? uwaache waha uje kwa wanangu wasukuma kweli?
Karibu kila benki unayoijua Tanzania ina tawi Kahama na Mwanza. Hizo benki hazina matawi kwenye mikoa unayoiita tajiri. Ndio ujiulize kama wanaishi watu masikini au? Kitu kimoja kizuri kuhusu hiyo mikoa, Matajiri wakubwa wengi wao huko ni wazawa (wasukuma) na siyo wa Asia kama ilivyo mikoa mingine. Mwanza kuna wahindi wachache ukilinganisha na mikoa kama Morogoro, Dar