Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

Wewe acha roho za kimaskini. Si ushamba mtu kuangalia show. Vipi na wale wanaohudhuria show kwa nchi zilizoendelea kisanaa na wao wa shamba eeh
Hata nchi zilizo endelea kuna washamba bro,kubali au kataa ila kanda ya ziwa ushamba upo.
 
Bukoba mwanza na kahama haiwezi kupita wiki bila kuja wasanii show ni nyingi ndio maana matamasha lazima yake kanda ya ziwa kwa wingi
 
Mwanza wasukuma bado washamba sana kuna wasanii wao huku wanaimba kisukuma yani wanapiga hela mbaya
We huna akili kwa hiyo kwenda kwenye show ni ushamba, eti wa sanii wa kisukuma wanapiga hela kwa hiyo ulitaka wakifanya show huko vijijini watu wasiende eti kwa mjibu wako ni ushamba
 
Acha kubishana na wapumbafu mkuu
We huna akili kwa hiyo kwenda kwenye show ni ushamba, eti wa sanii wa kisukuma wanapiga hela kwa hiyo ulitaka wakifanya show huko vijijini watu wasiende eti kwa mjibu wako ni ushamba
 
mkuu epukana na propaganda za TBS...tanzania breau of statistics taarifa wanapika hao..,
back to the topic..Mwanza ndo mji ambao fursa nje nje...pesa ipo umasikini ukosekane dodoma kwenye nyumba za tembe uje Mwanza kweli? uwaache waha uje kwa wanangu wasukuma kweli?
Man, wanaposema Mwanza usijikite pale mjini ambako of course, baada ya Dar, Mwanza kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa! Mnatambiwa na Arusha kwa sababu wa-Arusha wana ujanja ujanja fulani hivi wakati Mwanza ushamba ushamba bado upo sana!! Tukiachana na huo ushamba ushamba vs ujanja ujanja, tunaposema Mwanza unatakiwa kurudi hadi kule ndani vijijini ambako walikuwa wanategemea sana pamba, na pamba imebuma!

Dodoma na yenyewe ni maskini tu ingawaje sina uhakika ikiwa TBS wanadai Mwanza ni maskini zaidi kuliko Dodoma! Hata wakisema hivyo, siwezi kushangaa sana kwa sababu ya suala la kimahesabu! Population ya Mwanza ni kubwa sana ukilinganisha na Dodoma! Ukubwa wa population unaathiri sana mahesabu ya kutafuta wastani!
 
Kahama ni wilaya, ila inashindana na.mkoa wa dar es salaam kuingiza.mapato ya nchi.

Niliwah enda kufanya mishe fulan pale kwa wiki tatu

Nikagundua wana Gest/Lodge na mahotel kibao na kina aina ya starehe.

Kuna Pesa kuna pesa kuna pesa kama wee ni mjanja na mwenye akili.

KUNA UKIMWI KULIKO WILAYA YOYOTE TZ KWA SASA
Kahama ya nchi ipi inayoshindana na mkoa wa Dar es salaam?!
 
Mwanza wasukuma bado washamba sana kuna wasanii wao huku wanaimba kisukuma yani wanapiga hela mbaya
Jf waweke na kisehem cha kudislike, comment zingine zimejaa ujinga pak mtu anaona dhambi kuignore.
 
Maskini na tajiri wana vipaumbele tofauti maskini anatumia pesa zingine zitakuja ila tajir hatumii ovyo kwa vitu vya kipuuzi labda kuwekeza nadhani hiyo ndo sababu
 
Karibu kila benki unayoijua Tanzania ina tawi Kahama na Mwanza. Hizo benki hazina matawi kwenye mikoa unayoiita tajiri. Ndio ujiulize kama wanaishi watu masikini au? Kitu kimoja kizuri kuhusu hiyo mikoa, Matajiri wakubwa wengi wao huko ni wazawa (wasukuma) na siyo wa Asia kama ilivyo mikoa mingine. Mwanza kuna wahindi wachache ukilinganisha na mikoa kama Morogoro, Dar
 
mkuu epukana na propaganda za TBS...tanzania breau of statistics taarifa wanapika hao..,
back to the topic..Mwanza ndo mji ambao fursa nje nje...pesa ipo umasikini ukosekane dodoma kwenye nyumba za tembe uje Mwanza kweli? uwaache waha uje kwa wanangu wasukuma kweli?
Usiwataje waha kwa mambo ya kijinga we are the best
 
Kabisa matajili wa mwanza wengi ni ngozi nyeus siyo wahindi kama ilivyo kwa dar

Back
Top Bottom