Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Aman iwe juu yenu

Naomba kuuliza ni kwanini wasanii wengi hupenda sana kwenda kufanya show zao kahama na mwanza ambayo ni mikoa masikin kwa majubi wa takwimu za taifa

Je kahama kwa masikin kuna nini mbona show nyingi hufanyika sana pale na tena show za bei kubwa kubwa

Tena show nyingi hufanyika za one man show

Alianza alikiba akajaza uwanja kaja diamond kajaza uwanja nandy naye alijaza uwnja chege na wasanii wengi pia hujaza uwaja

Tukija kwa jiji kubwa na la pili kwa ukubwa nchi nzima ambalo kwa mujibu wa takwimu za taifa ni jiji masikin sana. Napo show hufanyika za kibabe sana tena za kila mwaka

Mwanza kunaweza fanyika show hata tano kwa siku na kila show ikajaza watu

Moja inaweza kuwa isamilo ikajaza na nyingine inaweza kuwa jembe ikajaza na nyingine inaweza kuwa villa ikajaza na nyingine inaweza gold crest ikajaza pia

Je sasa kwanini sehemu hizi masikin hutema sana pesa kushinda sehemu tajili nchini

Nawasilisha

Mayala B
 
mkuu epukana na propaganda za TBS...tanzania breau of statistics taarifa wanapika hao..,
back to the topic..Mwanza ndo mji ambao fursa nje nje...pesa ipo umasikini ukosekane dodoma kwenye nyumba za tembe uje Mwanza kweli? uwaache waha uje kwa wanangu wasukuma kweli?
 
Aman iwe juu yenu

Naomba kuuliza ni kwanini wasanii wengi hupenda sana kwenda kufanya show zao kahama na mwanza ambayo ni mikoa masikin kwa majubi wa takwimu za taifa

Je kahama kwa masikin kuna nini mbona show nyingi hufanyika sana pale na tena show za bei kubwa kubwa

Tena show nyingi hufanyika za one man show

Alianza alikiba akajaza uwanja kaja diamond kajaza uwanja nandy naye alijaza uwnja chege na wasanii wengi pia hujaza uwaja

Tukija kwa jiji kubwa na la pili kwa ukubwa nchi nzima ambalo kwa mujibu wa takwimu za taifa ni jiji masikin sana. Napo show hufanyika za kibabe sana tena za kila mwaka

Mwanza kunaweza fanyika show hata tano kwa siku na kila show ikajaza watu

Moja inaweza kuwa isamilo ikajaza na nyingine inaweza kuwa jembe ikajaza na nyingine inaweza kuwa villa ikajaza na nyingine inaweza gold crest ikajaza pia

Je sasa kwanini sehemu hizi masikin hutema sana pesa kushinda sehemu tajili nchini

Nawasilisha

Mayala B
Wanaendaga kwa waganga wao
 
Kahama ni wilaya, ila inashindana na.mkoa wa dar es salaam kuingiza.mapato ya nchi.

Niliwah enda kufanya mishe fulan pale kwa wiki tatu

Nikagundua wana Gest/Lodge na mahotel kibao na kina aina ya starehe.

Kuna Pesa kuna pesa kuna pesa kama wee ni mjanja na mwenye akili.

KUNA UKIMWI KULIKO WILAYA YOYOTE TZ KWA SASA
 
Back
Top Bottom