Kwanini Shule ya Sheria iko Dar pekee?

Kwanini Shule ya Sheria iko Dar pekee?

Kwa Nini watendaji wetu wasiwe wabunifu na akili zao zifanye kazi 24 hours? hivi kuna umuhimu gani wa wanafunzi wanaotaka kusomea Uwakili katika shule ya sheria, au school of Law wasifungue Branch mikoani? yaan watu wote lazima waende Dar?

Nadhani Waziri wa Elimu Mh. Ndalichako litazame hili kwa kina, haiwezekani kila mtu akaja Dar, kusomea hiyo kozi, fungueni Branch mikoani mfano, Mbeya, Mwanza, Arusha au Tanga.

Au kama hamtaki basi mruhusu kila chuo kinachotoa shahada ya sheria kiruhusiwe kutoa na kozi hiyo katika chuo husika, mnaweza kubadili sheria mkaruhusu hili, ila usimamizi, ubora nk. ndo uachwe kwa "Shule kuu ya sheria"

Hakuna haja ya kila mtu kuja dar. kisa kusomea kozi hiyo.
Umeandika vizuri sana. Hongera kwa mawazo makubwa
 
Mi binafsi law school kuwa moja imeweza kufanya wanasheria wote kuwa kitu kimoja, ukitaka uwe kile mkoa it means haitawafanya wanasheria kufanana hapo itatengeneza matabaka kama ya vyuo. We mwenyewe umeona watu wanavyodharauriwa kufuatana ma chuo alichotoka. Mi binafsi nimependa kilivyo kimoja ukisema tuwe kama cpa kila fani ina utaratibu wake, kuhusu gharama hata udsm pia muombe ihamie mbeya, lingine law school watu wanapata mkopo kama undergraduate, ukisema gharama popote ni gharama kwa sababu unatoka mazingira ya kwenu lazima gharama iwepo hata mkoani. Ila cha kuomba ni kwamba tujengewe hostel maana vyumba ni gharama hilo ndo la muhimu. Mtu alipie tuu hostel ili kupunguza hizo gharama
On point[emoji106]
 
Mi napita tu!!! BTW sioni hata umuhimu wa hiyo law school cheki huko zanzibar sakata la uchaguzi mawakili mnaojiita wasomi mko wapi??? Wafungwa wangapi wamefungwa bila hatia mawakili mko wapi??? Watu wangapi wako na matatizo na nyie mpo tuuu hata hamueleweki kazi mnakaa na kujiita learned lawyers sijui brothers uji.nga tu!!
Zanzibar hakuna law school kamanda, unapiga degree yako then unaenda internship miezi kadhaa baada ya hapo una petition kwa CJ unamaliza mchezo chaap unakua wakili sio kama huku mangi.
 
Kabla ya kuropoka..jaribu pia kujiuliza kwa nini ndio uje kujenga hoja;

Kunakitu kinaitwa Locus Stand,iwe uwe wakili au nani unayejua sheria au uji..huwezi kwenda mahakamani bila kuwa na locus stand.
na hiyo latin maxim uliyotumia atadhani umemtusi... maana VIJANA WA BAED HAWACHELEWI KUJAA NYEMBE
 
Back
Top Bottom