Kwanini shule zinafundisha namba za Kirumi?

Kwanini shule zinafundisha namba za Kirumi?

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje?

Nisaidieni!
 
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba
niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za
kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho
kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za
kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]

Hata ungejifunza hizo za kifaransa au za kichina,bado tu ungehoji.
 
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]

Hizo namba za kifaransa unazozungumzia ni zipi? Kwa ufahamu wangu wafaransa wanatumia hizi namba za kawaida!

Tiba
 
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]

Unajua hata vyuoni kuna kitu wanaita OUTLINING ambapo herufi za kirumi huanza na kufatiwa na hizi Abc.... Kwa kweli sababu sijajua ila nadhani ni utaratibu au mfumo ulio wekwa. Kwa sababu kama shuleni watu wasingejiunza hizo herufi, ingekuwa kazi nyingine ya ziada pindi wakifikia hatua za vyuoni bila kuzifahamu. N Maoni yangu. Ngoja tusubiri wengine wanasemaje.
 
Kwasababu zimerasimishwa kwenye matumizi ya lugha Tz.
 
Kuna mifumo miwili mikubwa ya namba za kirumi na za kiarabu. Hiyo mifumo miwili ni world wide hata hao wazungu nao wanatumia hizo hizo.

Kinachohusiana na hesabu iwe namba àu formula kuna universal system inayokubalika iwe mlandizi au washington dc
 
Yaani hata mimi nashangaa, ni kwa nini tufundishwe kiingereza mashuleni wakati kuna kivietinam, kithailand, kimongolia n.k. Labda tatizo ni mfumo wa serikali....!!
 
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]

Ukiskia wale Great Thinker Ñdo ww.
 
Yaani hata mimi nashangaa,
ni kwa nini tufundishwe kiingereza mashuleni wakati kuna kivietinam,
kithailand, kimongolia n.k. Labda tatizo ni mfumo wa
serikali....!!

yaani ipo hivi,hata ungejifunza hizo lugha nyingne bado tu ungehoji kwanini hatukujifunza no.za kirumi.?
hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini kila Mtanzania ni Afisa Usalama? Ukipata majibu yake ndiyo hayohayo ya swali lenu.
 
yaani ipo hivi,hata ungejifunza hizo lugha nyingne bado tu ungehoji kwanini hatukujifunza no.za kirumi.?
hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini kila Mtanzania ni Afisa Usalama?Ukipata majibu yake ndiyo hayohayo ya swali lenu.
sina mbavu mkuu!
 
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]
na hata 1, 2, 3...... nazo ni za kiarabu! Naamini ni sababu za kihistoria na ukweli kuwa ni jamii chache zilizoweza ku develop mfumo mzuri wa namba na kuudocument vizuri zaidi ya waarabu, warumi nadhani na wachina!
 
Back
Top Bottom