Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba
niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za
kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho
kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za
kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]

Hata ungejifunza hizo za kifaransa au za kichina,bado tu ungehoji.
Kwasababu.............
Hata ungejifunza hizo za kifaransa au za kichina,bado tu ungehoji.
we Godian,kumbe hata huku upo?
Umenifurahsha bro.
[h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]
Yaani hata mimi nashangaa,
ni kwa nini tufundishwe kiingereza mashuleni wakati kuna kivietinam,
kithailand, kimongolia n.k. Labda tatizo ni mfumo wa
serikali....!!
sina mbavu mkuu!yaani ipo hivi,hata ungejifunza hizo lugha nyingne bado tu ungehoji kwanini hatukujifunza no.za kirumi.?
hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini kila Mtanzania ni Afisa Usalama?Ukipata majibu yake ndiyo hayohayo ya swali lenu.
na hata 1, 2, 3...... nazo ni za kiarabu! Naamini ni sababu za kihistoria na ukweli kuwa ni jamii chache zilizoweza ku develop mfumo mzuri wa namba na kuudocument vizuri zaidi ya waarabu, warumi nadhani na wachina![h=5]i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni![/h]