Kwanini shule zinafundisha namba za Kirumi?

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje?

Nisaidieni!
 

Hata ungejifunza hizo za kifaransa au za kichina,bado tu ungehoji.
 

Hizo namba za kifaransa unazozungumzia ni zipi? Kwa ufahamu wangu wafaransa wanatumia hizi namba za kawaida!

Tiba
 

Unajua hata vyuoni kuna kitu wanaita OUTLINING ambapo herufi za kirumi huanza na kufatiwa na hizi Abc.... Kwa kweli sababu sijajua ila nadhani ni utaratibu au mfumo ulio wekwa. Kwa sababu kama shuleni watu wasingejiunza hizo herufi, ingekuwa kazi nyingine ya ziada pindi wakifikia hatua za vyuoni bila kuzifahamu. N Maoni yangu. Ngoja tusubiri wengine wanasemaje.
 
Kwasababu zimerasimishwa kwenye matumizi ya lugha Tz.
 
Kuna mifumo miwili mikubwa ya namba za kirumi na za kiarabu. Hiyo mifumo miwili ni world wide hata hao wazungu nao wanatumia hizo hizo.

Kinachohusiana na hesabu iwe namba àu formula kuna universal system inayokubalika iwe mlandizi au washington dc
 
Hiv wachina au wahindi nao wana namba zao?mbona hujauliza namba za kibongo?
 
Yaani hata mimi nashangaa, ni kwa nini tufundishwe kiingereza mashuleni wakati kuna kivietinam, kithailand, kimongolia n.k. Labda tatizo ni mfumo wa serikali....!!
 

Ukiskia wale Great Thinker Ñdo ww.
 
Yaani hata mimi nashangaa,
ni kwa nini tufundishwe kiingereza mashuleni wakati kuna kivietinam,
kithailand, kimongolia n.k. Labda tatizo ni mfumo wa
serikali....!!

yaani ipo hivi,hata ungejifunza hizo lugha nyingne bado tu ungehoji kwanini hatukujifunza no.za kirumi.?
hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini kila Mtanzania ni Afisa Usalama? Ukipata majibu yake ndiyo hayohayo ya swali lenu.
 
yaani ipo hivi,hata ungejifunza hizo lugha nyingne bado tu ungehoji kwanini hatukujifunza no.za kirumi.?
hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini kila Mtanzania ni Afisa Usalama?Ukipata majibu yake ndiyo hayohayo ya swali lenu.
sina mbavu mkuu!
 
na hata 1, 2, 3...... nazo ni za kiarabu! Naamini ni sababu za kihistoria na ukweli kuwa ni jamii chache zilizoweza ku develop mfumo mzuri wa namba na kuudocument vizuri zaidi ya waarabu, warumi nadhani na wachina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…