Kwanini shule zinafundisha namba za Kirumi?

warumi ndio waliogundua namba na kwa mara ya kwanza zilikuwa zinaandikwa kirumi hizo 123.... wamezichange toka kwene kirumi
 
Mkuu kwa mawazo ya kiponda-ponda au ilunga-ilunga unaweza ukasema
labda ni mfumo kristo maana hizi herufi za kirumi/ Roma zipo maalum kwa ajili ya parokia.
 
Duniani kuna namba za kiarabu na kirumi sidhani kama kuna namba zingine as!
 
Mkuu kwa mawazo ya kiponda-ponda au ilunga-ilunga unaweza ukasema
labda ni mfumo kristo maana hizi herufi za kirumi/ Roma zipo maalum kwa ajili ya parokia.

Mkuu, kumbuka warumi(wakristo) wanaakili sana na wana-influence kubwa sana katika ulimwengu huu. Fikiria mbona tunatumia Gregorian calender(ambayo ni kalenda ya kikatoliki) ambayo imeitwa jina hilo kwa heshima ya Baba Mtakatifu Pope Gregory xiii ambaye aliizindua mwaka 1582. Hii kalenda ndiyo tunaitumia sehemu kubwa ya watu wa dunia hii. Sasa tujiulize kwa nini Mayan calendar, Chinese calendar, Hebrew calendar, Islamic calendar, India calender hazitumiki kwa dunia nzima?. Ikumbukwe pia Warumi wametu-influence hadi tunatumia majina ya siku(days of the week) na miezi(names of the months) zinatoka katika lugha yao. Warumi(isomeke" waromani katoliki") wana-influence kubwa sana katika ulimwengu huu. Siyo namba za kirumi tu, ni mambo mengi sana hata katika taaluma mbalimbali.Tafakari.
 

Uvumbuzi ulianzia kwao, na hata hizi namba 1,2,3....zilitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…