Godian Ngunguti
Senior Member
- Feb 26, 2013
- 115
- 26
sina mbavu mkuu!
ndio JF...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina mbavu mkuu!
sina mbavu mkuu![/QUOTMmh!! MKuu una ishi vipi sasa?
sina mbavu mkuu!
Mkuu kwa mawazo ya kiponda-ponda au ilunga-ilunga unaweza ukasema
labda ni mfumo kristo maana hizi herufi za kirumi/ Roma zipo maalum kwa ajili ya parokia.
i,ii,iii,iv v naomba niulize wadau wote, hivi ni kwa nini shule tulifundishwa namba za kirumi na sio za kifaransa, kichina, kihindi, nk na je, katika hicho kirumi kwa nini tulisoma namba tu? Vipi kuhusu silabi, sentensi za kirumi zinaandikwaje? Nisaidieni!