J Joseph kimlio JF-Expert Member Joined May 18, 2026 Posts 745 Reaction score 1,329 Oct 4, 2026 #21 Moisemusajiografii said: Nchi imechanganyikiwa. Click to expand... Mimi sielewi! El nino kwa maana nyingine ni "jua kali?"
Moisemusajiografii said: Nchi imechanganyikiwa. Click to expand... Mimi sielewi! El nino kwa maana nyingine ni "jua kali?"
N narogo JF-Expert Member Joined Aug 25, 2021 Posts 5,450 Reaction score 4,774 Oct 4, 2026 #22 inchaji said: Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba? Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili? Click to expand... Umesikia wapi taarifa hiyo? Kwa nini hukusikiliza kwa ukamilifu? Rudi tena huko huko
inchaji said: Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba? Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili? Click to expand... Umesikia wapi taarifa hiyo? Kwa nini hukusikiliza kwa ukamilifu? Rudi tena huko huko