Kwanini Shura ya Maimamu haikutoa matokeo ya utafiti wao? Je walikurupuka?

Kwanini Shura ya Maimamu haikutoa matokeo ya utafiti wao? Je walikurupuka?

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha.

Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
 
Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha.

Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
aisee umekumbuka nini we jamaa, maana ni kakitambo kamepita sasa na matukio yaliopita ni mengi kiasi yametusahaulisha ukizingatia sísi watz ni watu wa kwenda kwa matukio.

Watasema nini sasa, na utekaji ulivyofanywa halali hivi.
 
Unaongelea tukio lipi au la yule man aliyeingia na maza masjid upande wa kina maza?!
 
Back
Top Bottom