Rozela JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 845 Reaction score 2,235 Feb 5, 2025 #1 Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Feb 5, 2025 #2 🤣
harakati za siri JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,074 Reaction score 2,870 Feb 5, 2025 #3 Rozela said: Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka? Click to expand... aisee umekumbuka nini we jamaa, maana ni kakitambo kamepita sasa na matukio yaliopita ni mengi kiasi yametusahaulisha ukizingatia sísi watz ni watu wa kwenda kwa matukio. Watasema nini sasa, na utekaji ulivyofanywa halali hivi.
Rozela said: Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka? Click to expand... aisee umekumbuka nini we jamaa, maana ni kakitambo kamepita sasa na matukio yaliopita ni mengi kiasi yametusahaulisha ukizingatia sísi watz ni watu wa kwenda kwa matukio. Watasema nini sasa, na utekaji ulivyofanywa halali hivi.
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 1,568 Reaction score 1,923 Feb 5, 2025 #4 Unaongelea tukio lipi au la yule man aliyeingia na maza masjid upande wa kina maza?!