FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sitaki watoto wangu wakikua waje wakutane na hiyo mitangazo yenu ya kujiua kwa moshi, ni hayo tu.Achana na starehe za watu wewe, sigara zinakuhusu nini? Hayo matangazo yanakukera na nini?
Naona vipeperushi vingi sana vinabandikwa kwenye maduka ambayo hata watoto wadogo huenda hapo, kuna tangazo moja limebandikwa dukani ni la master kama sikosei, linasema eti 'Tumbaku, fahari ya nchi yetu', just imagine! Mtoto atachukuliaje huo ujumbe?Chombo gani cha habari kinatangaza sigara?