Kwanini siku hizi vijana wadogo sana wanaumwa macho na kuvaa miwani tofauti na zamani??

Kwanini siku hizi vijana wadogo sana wanaumwa macho na kuvaa miwani tofauti na zamani??

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Miaka ya nyuma kuna baadhi ya magonjwa yalikuwa yanawapata zaidi watu wenye umri mkubwa/wazee hivyo tulishazoea kuona kwamba magonjwa hayo ni ya wazee

Magonjwa kama macho
Presha
Moyo
Kisukari
Yalikuwa yanawapata zaidi watu wenye umri mkubwa

Ila siku hizi mtoto Mdogo tu ana matatizo ya macho haoni vizuri anaanza kuvaa miwani

Siku hizi watoto wengi wanaugua presha na magonjwa ya moyo hata wale wembamba yani vimbaumbau

Je ni nini hasa kinasababisha hii hali??

Siku hizi vijana wanashindwa hata kuhimili kusimama nusu saa tu,ndani ya dakika kadhaa kijana hasa wasichana akisimama analalamika kuchoka na wengine wanadondoka

Nini kinawakuta vijana wengi wa siku hizi kuwa dhahifu???
 
Vyakula vyenye lishe bora vijana wa sikuhizi kula chips na kunywa soda wanaona ndiyo maisha. Vijana mnatakiwa kula matunda na mboga mboga pia kunywa maji kwa wingi
 
Back
Top Bottom