Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba wanazidisha ila idadi ya wanawake wenye matiti makubwa imeongezeka... yaani matiti makubwa ya asili na makubwa ya Kichina, na hata uvaaji wa sidiria nao umeongezeka!Siku hizi wamezidisha imekuwa ndio fasheni
Sijawahi sikia kwamba kujisitiri ni kumdhalilisha mwanamkeNdio maana tunataka wajisitiri wasionyeshe maungo yao ila kuna wanaume washenzi wanaotaka kuwaona wanawake wakiwa uchi hawataki wanawake wajisitiri wanasema kujisitiri yan kufunika mwili wake ni kumdhalilisha mwanamke na kinyume chake kuonyesha makalio maziwa mapaja ndio haki za mwanamke. Na media zina promote hivyo kumthamini mwanamke ni kumuacha uchi
Sio kwamba wanazidisha ila idadi ya wanawake wenye matiti makubwa imeongezeka... yaani matiti makubwa ya asili na makubwa ya Kichina, na hata uvaaji wa sidiria nao umeongezeka!
Sasa jeki zinaonekana wazi wazi zaidi kwa wanawake wenye matiti makubwa!! Na mzigo kama huo ukitaka kuutoa kwenye original elevation na kuutaka u-fit kwenye sidiria, ndo hapo sasa unakuta kifua kimezidi makalio ya Da' Mange!
Nawewe utakuja kufa juu ya mbunye mbwa wewe
Ngoja mange akusikieSio kwamba wanazidisha ila idadi ya wanawake wenye matiti makubwa imeongezeka... yaani matiti makubwa ya asili na makubwa ya Kichina, na hata uvaaji wa sidiria nao umeongezeka!
Sasa jeki zinaonekana wazi wazi zaidi kwa wanawake wenye matiti makubwa!! Na mzigo kama huo ukitaka kuutoa kwenye original elevation na kuutaka u-fit kwenye sidiria, ndo hapo sasa unakuta kifua kimezidi makalio ya Da' Mange!
Acha ushamba wewe ile ni biashara kuna wanaopenda na wasiopendaHivi wapo wenye matiti ya kichina sio kwamba wanawake hawapendi kuwa na matiti makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa enzi hizo ndo walikuwa hawapendi matiti makubwa lakini baadhi ya wanawake wa kileo wanaoona wenzao ughaibuni wanafanya surgery kutaka matiti makubwa, unakuta na wenyewe wanaiga hiyo kitu, kama wanavyoutaka wembamba hivi sasa wakati mwanamke Mwafrika asilia anataka a bantu figure!!Hivi wapo wenye matiti ya kichina sio kwamba wanawake hawapendi kuwa na matiti makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuu...Utakuja ufe wewe