Kwanini siku hizi wanayanyanyua matiti juu na kuyabana namna hii?

Siku hizi wamezidisha imekuwa ndio fasheni
Sio kwamba wanazidisha ila idadi ya wanawake wenye matiti makubwa imeongezeka... yaani matiti makubwa ya asili na makubwa ya Kichina, na hata uvaaji wa sidiria nao umeongezeka!

Sasa jeki zinaonekana wazi wazi zaidi kwa wanawake wenye matiti makubwa!! Na mzigo kama huo ukitaka kuutoa kwenye original elevation na kuutaka u-fit kwenye sidiria, ndo hapo sasa unakuta kifua kimezidi makalio ya Da' Mange!
 
Sijawahi sikia kwamba kujisitiri ni kumdhalilisha mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wapo wenye matiti ya kichina sio kwamba wanawake hawapendi kuwa na matiti makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja mange akusikie
 
Hivi wapo wenye matiti ya kichina sio kwamba wanawake hawapendi kuwa na matiti makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa enzi hizo ndo walikuwa hawapendi matiti makubwa lakini baadhi ya wanawake wa kileo wanaoona wenzao ughaibuni wanafanya surgery kutaka matiti makubwa, unakuta na wenyewe wanaiga hiyo kitu, kama wanavyoutaka wembamba hivi sasa wakati mwanamke Mwafrika asilia anataka a bantu figure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…