Anaogopa mambo ya Sao HillKulia kwa mtoto ni moja ya furaha ya kuja duniani,hali ilivyo katika awamu hii mtoto anapozaliwa anakuwa hana furaha ajionea bora anyamaze tu,
kina mama wanajua kama kalia au la ukizingatia siku hizi hata katika operation huwa wanawachoma sindano za mgongoni hivyo wanashuhudia kila kitu.....Anayejua kama mtoto kalia au hajalia ni mkunga,hata mama mzazi anaweza asijue ila mi ninavyojua mtoto lazima alie hata kwa makofi na vifinyo.
Basi siku hizi hawazai kwa uchungu, Kama wanazaa kwa uchungu basi uchungu kumbe ni wakawaida tu. Maana Kama wanavyoongeaga kujifungua ni nusu kuta, sidhani kama wataweza ku-notes Kama mtoto kalia au la! Naongea kwa hisia zangu, sikubishi maneno yako.kina mama wanajua kama kalia au la ukizingatia siku hizi hata katika operation huwa wanawachoma sindano za mgongoni hivyo wanashuhudia kila kitu.....
π±π±π±π± kashausoma usawa tangu tumboniKulia kwa mtoto ni moja ya furaha ya kuja duniani,hali ilivyo katika awamu hii mtoto anapozaliwa anakuwa hana furaha ajionea bora anyamaze tu,
Watoto wanakuwa wanawasikia wazazi wao wakiwa tumboni,wazazi wa siku hizi hapa Tanzania maongezi yao ni:-,kupigwa risasi wanasiasa,kuvunyiwa nyumba kwa raia,watu wanaokotwa kwenye viroba,maandamano ya Mange Kimambi...π±π±π±π± kashausoma usawa tangu tumboni
Njia za uzazi zimekuwa pana kwahyo watoto hawabanwi banwi wanapo zaliwaJuzi nilifika Hospitali moja ya rufaa itwayo Ligula mkoani Mtwara kwa lengo la kumjulia hali mke wa ndugu yangu ambae alifanyiwa Operation week 1 baada ya kujifungua.
Nikiwa pale Hospitalini nilibahatika kubadilisha mawazo na watu tofauti wengi wao wakiwa wamama ambao walikuja kwa lengo la kuwasaidia ndugu zao ambao walishafikia kilele cha kushusha injini, lakini uwepo wangu pale nilisikia minong'ono toka kwa wamama wakisema kuwa 95% ya watoto wanaozaliwa hawalii mara watokeapo nje hali ambayo ni tofauti na zamani.
Jee ni kwa nini hali hii hutokea siku hizi?