Puyugu 01
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 573
- 455
Juzi nilifika Hospitali moja ya rufaa itwayo Ligula mkoani Mtwara kwa lengo la kumjulia hali mke wa ndugu yangu ambae alifanyiwa Operation week 1 baada ya kujifungua.
Nikiwa pale Hospitalini nilibahatika kubadilisha mawazo na watu tofauti wengi wao wakiwa wamama ambao walikuja kwa lengo la kuwasaidia ndugu zao ambao walishafikia kilele cha kushusha injini, lakini uwepo wangu pale nilisikia minong'ono toka kwa wamama wakisema kuwa 95% ya watoto wanaozaliwa hawalii mara watokeapo nje hali ambayo ni tofauti na zamani.
Jee ni kwa nini hali hii hutokea siku hizi?