Kwanini siku mpya huanza usiku na si pale jua linapochomoza?

Kwanini siku mpya huanza usiku na si pale jua linapochomoza?

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Wadau,

Naomba tujiuliulize hili swali na kwa mwenye majibu ataweza tupatia.

Kwa nini siku mpya huanza kuhesabiwa usiku wa manane na si pale jua linapochomoza?

Karibuni tupeane ujuzi wa swala hili
 
Ukianza hesabu siku jua linapochomoza c utaishia linapozama? Hicho kipindi cha giza utaweka siku ipi?
 
Maswali mengine;kweli kuuliza si ujinga lkn baadhi ya maswali ukiuliza yanaleta taswira tofauti na kukufanya uonekane mtu usiyefikiri vema sasa msingi wa maswali yako upo kwenye nini haswa?,Je ni ktk kujua siku inaanza muda gani?,au ni kujua kuhusiana na Sherehe za x-mass,Mwaka mpya na Pasaka?,hebu eleweka.
 
mkuu haina uhusiano na kitu chochote bali ni kutaka kujua kwa nini siku isianze jua linapochomoza na ikaanza usiku?
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kalenda ya Gregorian, kalenda ya Hijria siku inaanza linapochomoza jua na usiku unaanza linapozama jua na tarehe hubadilika linapozama jua.

Hijria calendar makes a lot of sense.
 
Wadau,

Naomba tujiuliulize haya maswali na kwa mwenye majibu ataweza tupatia.

Kwa nini siku mpya huanza kuhesabiwa usiku wa manane na si pale jua linapochomoza?

Kuna uhusiano gani kati ya sherehe za kidini ya kikristo na uanzaji wa siku mpya kama X-mas, Pasaka na Mwaka mpya?

Karibuni tupeane ujuzi wa haya maswala.

Ukiweka habari za sikukuu za Christian unakua umechemka,achana na hilo maana hata hilo litakurudisha pale pale kwenye kuanza kwa siku mpya ambayo ni utaratibu unafatwa na wote wenye dini na wasiokua na dini,hapo umeweka mada mbili kwa wakati mmoja,toa moja jadili moja ikiisha ndo uje na mada nyingine! Kimsingi ni kweli inachanganya maana hata tukiambiwa juma moja lina siku7 basi kiukweli mwezi m1 utakua na siku28,lakini mwezi wenye siku28 ni mmoja tu ktk mwaka mzima,hizi siku mbili za tarehe 30 na 31 zilitoka wapi?hayo ndo tungejaribu kujengana uwezo!
 
Kila sehemu inapata usiku kila wakati unapofika,na si kila sehemu ina-experience kuchomoza kwa jua kwa majira yote ya mwaka mfano polar regions.Sasa mkuu kwa dhana yako ya siku kuanza kuhesabiwa pale linapochomoza jua je mahala ambapo jua halichomozi siku zigande mpaka litakapochomoza?
 
Sayansi inatoa majibu ya mambo haya.Kwenye poles kuna kipindi ktk mwaka hawadilishi usıku na mchana lakini siku na tarehe vinabadilika.Hyo inatosha ku-nullify hoja yako kwamba kwa nini sku isianze jua alıchomokapo.
 
Huwezi kumpangia mzungu afanye nini na nin asifanye!
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kalenda ya Gregorian, kalenda ya Hijria siku inaanza linapochomoza jua na usiku unaanza linapozama jua na tarehe hubadilika linapozama jua.

Hijria calendar makes a lot of sense.

Kuna mahali nimeona hii ID imegeuzwa nikafikiri una kifungo.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kalenda ya Gregorian, kalenda ya Hijria siku inaanza linapochomoza jua na usiku unaanza linapozama jua na tarehe hubadilika linapozama jua.

Hijria calendar makes a lot of sense.

Jua kuzama kwenye tope? Doesn't make any sense.
 
Kila sehemu inapata usiku kila wakati unapofika,na si kila sehemu ina-experience kuchomoza kwa jua kwa majira yote ya mwaka mfano polar regions.Sasa mkuu kwa dhana yako ya siku kuanza kuhesabiwa pale linapochomoza jua je mahala ambapo jua halichomozi siku zigande mpaka litakapochomoza?

mkuu hii ni all over the world a new day start at the midnight even in a polar,
 
kwa hiyo kigoma wawe wanachelewa kuianza siku sio? :car:
 
mkuu huku africa tuna bahati kwamba jua linachomoza asubuhi na kuzama jioni lkn nchi za wenzetu kuna kipindi jua linazama saa mbili usiku au kuchomoza saa kumi alfajiri..kwa hiyo kuzama au kuchomoza kwa jua sio kigezo kuwa siku imeisha
 
Mbona kama vile nakumbuka niliosoma Darasa la Sita.
mambo ya Greenwich,longitudo na Latitudo

mkuu latitude,longitude,great circle wala time zone na standard time haziwez jibu hili swali,kwa sababu mfano ukichukua nchi kama US au russia zinakuwa na more than two time zone,yaan zinapishana kwa masaa meng sana ndani ya nchi moja lakin a new day start at mid night,why?
 
Kutaka kujua majibu muswano ya swali hili ni kuitafuta historia vizuri na majibu yapo pale.
Wkt majibu yanakuja kuna mfumo wa kiserikali ulioingiliana na dini ambao ulisababisha msingi ya hawali wa "Ikawa jioni ikawa asububi siku moja" kupotezwa.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kalenda ya Gregorian, kalenda ya Hijria siku inaanza linapochomoza jua na usiku unaanza linapozama jua na tarehe hubadilika linapozama jua.

Hijria calendar makes a lot of sense.

Toa udini wako hapa, kwasababu ni ya kiislamu ndio inamake sense? We kweli fox(mbwa mwitu)
 
Back
Top Bottom