issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
- Thread starter
- #21
mkuu huku africa tuna bahati kwamba jua linachomoza asubuhi na kuzama jioni lkn nchi za wenzetu kuna kipindi jua linazama saa mbili usiku au kuchomoza saa kumi alfajiri..kwa hiyo kuzama au kuchomoza kwa jua sio kigezo kuwa siku imeisha
mmh,mkuu hapana east africa tunatofautiana one hour na central africa,then kuna zone moja inawahi kupata siku kuliko nyingne because of time difference