issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
- Thread starter
-
- #21
mkuu huku africa tuna bahati kwamba jua linachomoza asubuhi na kuzama jioni lkn nchi za wenzetu kuna kipindi jua linazama saa mbili usiku au kuchomoza saa kumi alfajiri..kwa hiyo kuzama au kuchomoza kwa jua sio kigezo kuwa siku imeisha
Kila sehemu inapata usiku kila wakati unapofika,na si kila sehemu ina-experience kuchomoza kwa jua kwa majira yote ya mwaka mfano polar regions.Sasa mkuu kwa dhana yako ya siku kuanza kuhesabiwa pale linapochomoza jua je mahala ambapo jua halichomozi siku zigande mpaka litakapochomoza?
mkuu nimeongelea kuzama na kuchomoza kwa jua..ni kweli EAT na CAT tumepishana ila masaa ni yale yale yaani masaa 12 ya mwanga na masaa 12 ya giza ila nchi za wenzetu unaweza ukakuta masaa 14 ni jua na masaa 10 ni giza..nadhani umenielewa mkuu..
waulize wakristu...., wakristu mko wapi swali lenu hilo..
DU hapa iko kaziGT tumeshindwa kujibu swali. Nashauri tuchukue kama changamoto tufanye research otherwise porojo tu. Swali lipo so direct ila majibu yanazunguka
Binadamu kwa mawazo yangu hua anachoka na kulala kuanzia hiyo saa sita na wale wahangaikaji ikifika saa 8 huwa hawana ubavu tena awe dereva au mlevi na ndio kipindi cha wenzetu wanaoWANGA hufaidiThe Egyptians are thought to be responsible for dividing the day in to 24 equal parts. Several reasons have been given to explain this. One account suggests that Egyptians used the base 12, because they counted their joints in their fingers (not thumb) instead of counting using their fingers as it is commonly done now.
Other accounts points towards the use of a system of 36 star groups, called "decans" by the Egyptians to tell time at night. The star groups in the decans tend to rise in the sky 40 minutes after one another. The Egyptians used the decans to develop a system to tell time at night.
Toa udini wako hapa, kwasababu ni ya kiislamu ndio inamake sense? We kweli fox(mbwa mwitu)
Jua kuzama kwenye tope? Doesn't make any sense.
Kuna mahali nimeona hii ID imegeuzwa nikafikiri una kifungo.