Kwanini siku ya leo ya pasaka pombe hazileweshi

Kwanini siku ya leo ya pasaka pombe hazileweshi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sio mimi peke yangu Bali wadau wote wamezilalamikia pombe za Leo kuanzia bia Mpaka konyagi tumekunywa lakini hatukufanikiwa kulewa Mpaka sasa hizi.
 
Vitendo dhidi ya maneno.

Acha kunywa pombe feki.
 
Sio mimi peke yangu Bali wadau wote wamezilalamikia pombe za Leo kuanzia Mpaka konyagi tumekunywa lakini hatukufanikiwa kulewa Mpaka sasa hizi.
kachek typhoid, malaria na UTI 🐒

ukiwa unfit healthily huwez feel alcohol 🐒
 
Sio mimi peke yangu Bali wadau wote wamezilalamikia pombe za Leo kuanzia bia Mpaka konyagi tumekunywa lakini hatukufanikiwa kulewa Mpaka sasa hizi.
Unawaza kukamatwa na wahuni wa Zanzibar wakamatao watu na kuwachapa viboko wakila raha zao
 
tatizo mmekula pilau mpaka mmevimbiwa so bado matumbo yanapambana na pilau nyie mnaweka pombe baadae mtalewa chakali!,kuna watu watalala mitaroni, wengine mtaenda kupiga hodi vituo vya polisi na wengine mtafika nyumbani ila mkiwa hamna nguo..😂
 
Labda ni hofu ya kucharazwa fimbo hadharani
 
Mkuu ulichosema kuna jamaa alikuja mkoani kwetu kutoka makao makuu ya nchi amekunywa bia usiku mzima asubuhi analalamika kuwa bia za huku kwetu hazijaiva anakaza tumpeleka kiwanja chenye bia zilizoiva [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom