Siku, saa na dakikani zilezile. Sema siku hizi kuna changamoto nyingi na fursa nyingi. Watu wanapambana kujikimu na kukabili mahitaji mbalimbali, ni mchakamchaka wa kutafuta hivyo unaona muda hautoshi.Kutokea mnamo miaka ya 2000 mpka mwaka huu ambao tupo sasa, watu wengi wamekuwa wakilalamika kwa kusema kuwa siku zinakimbia sana, naomba unipe sababu za kisomi kusapoti hoja ya kuwa siku zinakimbia sana na kama haukubaliani pia naomba sababu za kisomi.
true saySiku, saa na dakikani zilezile. Sema siku hizi kuna changamoto nyingi na fursa nyingi. Watu wanapambana kujikimu na kukabili mahitaji mbalimbali, ni mchakamchaka wa kutafuta hivyo unaona muda hautoshi.
hahaaaa " AiseeeMkuu nashangaa kuona unahitaji sababu za kisomi wakati uzi wako sio wa kisomi.
Mbaya zaidi ni uzi wako wa kwanza.
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!
hahaaaItakuwa umekopa na tarehe ya rejesho inakaribia.
safiSiku, saa na dakikani zilezile. Sema siku hizi kuna changamoto nyingi na fursa nyingi. Watu wanapambana kujikimu na kukabili mahitaji mbalimbali, ni mchakamchaka wa kutafuta hivyo unaona muda hautoshi.