Kwanini siku zinakimbia sana

Kwanini siku zinakimbia sana

htawah

New Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Kutokea mnamo miaka ya 2000 mpka mwaka huu ambao tupo sasa, watu wengi wamekuwa wakilalamika kwa kusema kuwa siku zinakimbia sana, naomba unipe sababu za kisomi kusapoti hoja ya kuwa siku zinakimbia sana na kama haukubaliani pia naomba sababu za kisomi.
 
Siku, saa na dakikani zilezile. Sema siku hizi kuna changamoto nyingi na fursa nyingi. Watu wanapambana kujikimu na kukabili mahitaji mbalimbali, ni mchakamchaka wa kutafuta hivyo unaona muda hautoshi.
 
Mkuu nashangaa kuona unahitaji sababu za kisomi wakati uzi wako sio wa kisomi.
Mbaya zaidi ni uzi wako wa kwanza.
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!
 
sasa ulitaka siku zisimame au?? ukiwa huna majukumu utaona siku haziendi ila ukiwa na majukumu lazima siku zikimbie kwa maana hazimsubiri fulani
 
Siku, saa na dakikani zilezile. Sema siku hizi kuna changamoto nyingi na fursa nyingi. Watu wanapambana kujikimu na kukabili mahitaji mbalimbali, ni mchakamchaka wa kutafuta hivyo unaona muda hautoshi.
true say
 
Ni majukumu tu yakiwa mengi unaona mda hautoshi ndio maana inaonekana siku zinakimbia hata hivyo sio wote wanaoona hivyo
 
siku kukimbia, au zama kukaribiana ni miongoni mwa dalili za siku ya kiama.
mwaka utakua kama mwezi
mwezi utakua kama wiki
wiki kama siku
siku kama saa
saa kama dakika
dakika kama sekunde.

Allah atujaalie mwisho mwema. aamin
 
Hqhahahaha masaa n Yale Yale ila sasa unajua tukio ulilolifanya maana uliopita unaliona kama umelifanya Jana ipo hivyo mpka mda mwingine unajishangaa
 
Siku, saa na dakikani zilezile. Sema siku hizi kuna changamoto nyingi na fursa nyingi. Watu wanapambana kujikimu na kukabili mahitaji mbalimbali, ni mchakamchaka wa kutafuta hivyo unaona muda hautoshi.
safi
 
Mjukuu wangu, maisha yetu wanadamu ni mafupi sana, wakati wa ujana wangu nilikua na mawazo kama yako, sasa uzeeni naona haziendi
 
Kama wadaiwa kodi ya nyumba aiseee masaa utaona yamegeuka **** dakika. ila kama wamdai kodi mtu ni kinyume yani utaona dakika zimekuwa masaaa.
 
Back
Top Bottom