TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau,
Sijuhi ni macho yangu tu au hata wengine mnaona kama ninavyoona mimi.
Wale tuliozaliwa miaka ya 80' kushuka chini ni mashuhuda kwamba zamani ikishafika miezi ya mwisho wa wa November kwenda December kulikuwa na mishe mishe mingi mitaani hata station za radio zilikuwa zikigonga mangoma ya kuashiria X-mas' zimekaribia pia mitaa na maofisi yalikuwa yakipambwa na miti ya X-mas, malls ndio usiseme.
Hii ina ukweli au macho yangu sababu mimi tu ndio sina hela😂😂😂😂