TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
ππππHauna hela mkuu wenye hela maandalizi yashaaa
Ndio hatuna mkuu kwetu sisi kama sikukuu ni alhamisi basu huwa haina tofauti na alhamisi zingineWw na mm ndio hatuna boss.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16]ngoja waje.. andaa nguo za kufuaUmekua sasa.
Na sasa umejua kwamba Xmas, ukiacha nia njema ile ya kuinua imani, ni just a marketing galore.
[emoji3]
Asante kwa jibu murua,,,,,Watanzania hawana furaha
Maisha mtaani yamekuwa magumu mnooo
πππππππππUjue sasa umekua, hali unayoiona sasa ndio hali wazazi wako walikuwa wanaiona ulipokuwa unakula bata.