Kwanini sikukuu za Krismasi za miaka hii zimepoteza mvuto?

Uchumi mkuu!
Watu hata pesa ya mti wa Christmas hawana
 
Mkuu umri ushasonga ,kwasasa wanao enjyoy ni watoto wa wa 2000's!! Wewe kwasasa xmas au sikukuu hauzipi kipaumbele cozya wamjukumu ,ila watoto wana enjoy sana vipindi vya sikukuu na wanaona kama ulivyokuwa unaona wewe kipindi hicho wakati una umri kama wao wa sasa!!
 
Kuna watu huwa wanasema kila siku kwao ni sikukuu,
Eisitii Wazalendo, pale baada ya kazi ni bata
 
Sema wewe umepoteza mvuto njoo uone kwetu watu walivyojiachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ