Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja mo kauuzaSalaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.
Wasalamu
Wanafanyia wapi!? UTOPOLO ni UTOPOLO tu.Salaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.
Wasalamu
Hapa ni Bunju MO Simba ARENASalaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.
Wasalamu
Yanga kupita mageti yasio rasmi huwa wanaogopa nini?Simba ni mbumbumbu wa kimataifa, wao Wana amini wakichezea mazoezi pale wanarogwa kwakua watu wengi wanakuja kushuhudia mazoezi.
Timu ikiwa mbovu vinatafutwa visingizio vingi. Yanga wameutumia uwanja wa Kaunda kufanya mazoezi kwa miaka Mingi na hawajawahi kusema wanalogwa na watu walikua Wana jaa na kulikua na kiingilio na wamechukua Makombe kwa miaka Mingi wakiwa hapo .
Kubabake haludiYanga kupita mageti yasio rasmi huwa wanaogopa nini?
Huo ukarabati hauihusu Simba Queens sio?Mo Arena inafanyiwa ukarabati
Kipindi hiki wanafanyia hapo Kaunda tena?Simba ni mbumbumbu wa kimataifa, wao Wana amini wakichezea mazoezi pale wanarogwa kwakua watu wengi wanakuja kushuhudia mazoezi.
Timu ikiwa mbovu vinatafutwa visingizio vingi. Yanga wameutumia uwanja wa Kaunda kufanya mazoezi kwa miaka Mingi na hawajawahi kusema wanalogwa na watu walikua Wana jaa na kulikua na kiingilio na wamechukua Makombe kwa miaka Mingi wakiwa hapo .
Kwahiyo Simba Queen siyo simba!?
Tangu uanze kutumika hauna wiki
Simba ni mbumbumbu wa kimataifa, wao Wana amini wakichezea mazoezi pale wanarogwa kwakua watu wengi wanakuja kushuhudia mazoezi.