Kwanini Simba haifanyi mazoezi Mo Simba Arena?

mashonga

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
595
Reaction score
970
Salaam,

Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.

Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.

Wasalamu
 
Wanafanyia wapi!? UTOPOLO ni UTOPOLO tu.
 
Salaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa watujuze kwa nini imekuwa hivyo.
Wasalamu
Hapa ni Bunju MO Simba ARENA
Simba Queen wakiendelea na mazoezi.
Screenshot_20211106-075709.png
 
Simba ni mbumbumbu wa kimataifa, wao Wana amini wakichezea mazoezi pale wanarogwa kwakua watu wengi wanakuja kushuhudia mazoezi.
Timu ikiwa mbovu vinatafutwa visingizio vingi. Yanga wameutumia uwanja wa Kaunda kufanya mazoezi kwa miaka Mingi na hawajawahi kusema wanalogwa na watu walikua Wana jaa na kulikua na kiingilio na wamechukua Makombe kwa miaka Mingi wakiwa hapo .
 
Yanga kupita mageti yasio rasmi huwa wanaogopa nini?
 
S
Simba ni mbumbumbu wa kimataifa, wao Wana amini wakichezea mazoezi pale wanarogwa kwakua watu wengi wanakuja kushuhudia mazoezi.
Timu ikiwa mbovu vinatafutwa visingizio vingi. Yanga wameutumia uwanja wa Kaunda kufanya mazoezi kwa miaka Mingi na hawajawahi kusema wanalogwa na watu walikua Wana jaa na kulikua na kiingilio na wamechukua Makombe kwa miaka Mingi wakiwa hapo .
Kipindi hiki wanafanyia hapo Kaunda tena?
 
Imeonekana wachezaji wengi nawapata injury wanapofanya mazoezi kwenye ARTIFICIAL TURF kwa muda mrefu..

Hivyo wame opt kutumia viwanja vinginevyo..
 
Simba ni mbumbumbu wa kimataifa, wao Wana amini wakichezea mazoezi pale wanarogwa kwakua watu wengi wanakuja kushuhudia mazoezi.
Timu ikiwa mbovu vinatafutwa visingizio vingi. Yanga wameutumia uwanja wa Kaunda kufanya mazoezi kwa miaka Mingi na hawajawahi kusema wanalogwa na watu walikua Wana jaa na kulikua na kiingilio na wamechukua Makombe kwa miaka Mingi wakiwa hapo .

Mbona sasa hivi yanga hawafanyi mazoezi huo uwanja wa kaunda ambao unasema wamekuwa wakifanya mazoezi hapo miaka mingi!?? Ni kitu gani kinawazuia hivi sasa wasifanye tena mazoezi hapo nyie wanautopolo...?!?
Simba kutokufanya mazoezi hapo bunju siku mbili tatu imekuwa nongwa siyo?
Utopolo mnayoisifia hivi sasa ni nzuri ni suala la muda tu, mtaanza kupoteana na ubingwa hamtauchukua...
Hiyo michezo mitano mliyocheza si kigezo cha utopolo kwamba ni nzuri na simba ni mbovu!
Tulieni baada ya game 10 hivi msipopoteana na kuanza kulalamikia marefa na TFF kama kawaida yenu, huku mkianza kumnanga kocha na msukule...!!
 
Back
Top Bottom