Edson Carrington
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 216
- 636
SawaInferiority complex dhidi ya waarabu ndicho kinachotutesa Wana Simba tunapitia kipindi kugumu sana
SawaMTASEMA KILA NENO LAKINI HAPA NILIMALIZA YOTE.
Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com