Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa ujumla ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa AFL.
Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba wenyeji wa ufunguzi, na sio kwa hizi timu kubwa barani Africa kama
1. Mamelody
2. TP Mazembe
3. Al Ahly
4.Esperence.
Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba wenyeji wa ufunguzi, na sio kwa hizi timu kubwa barani Africa kama
1. Mamelody
2. TP Mazembe
3. Al Ahly
4.Esperence.