Kwanini Simba ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa mashindano AFL?

Kwanini Simba ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa mashindano AFL?

Ulisikia alichosema Raisi wa CAF?
Alikuwa anaongea Kimombo Safi kabisa.

Rudia tena kuisikiliza hotuba yake utaelewa.
Unaweza kumtafuta mkalimani atakuelewesha.

Kiufupi lengo kuu ni kumthamini kila mwanachama hai na mwenye hamasa ya mpira katika nchi zote za Afrika.
Huko kwingine washaiwakilisha sana CAF katika maswala ya Soka

Cha msingi nchi iwe na miundombinu ya Soka yenye viwango vya Kimataifa.
 
TFF ilishatoa ufafanuzi kuhusu fainali za FA kupelekwa mikoani, lengo ni kuhamasisha michezo kwenye mikoa ambayo ipo nyuma kimpira, pia ni kwa ajili ya maendeleo ya viwanja ,maana sehemu ambayo fainali ya FA hupangwa ukarabati wa viwanja hufanyika
ISIWE fainali tu mechi za robo na nusu fainali na mshindi wa tatu nazo zije mikoani
 
Back
Top Bottom