Pole ya nini tena mkuuPole sana
Nje ya mada,Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa ujumla ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa AFL.
Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba wenyeji wa ufunguzi, na sio kwa hizi timu kubwa barani Africa kama
1. Mamelody
2. TP Mazembe
3. Al Ahly
4.Esperence.
TFF ilishatoa ufafanuzi kuhusu fainali za FA kupelekwa mikoani, lengo ni kuhamasisha michezo kwenye mikoa ambayo ipo nyuma kimpira, pia ni kwa ajili ya maendeleo ya viwanja ,maana sehemu ambayo fainali ya FA hupangwa ukarabati wa viwanja hufanyikaNje ya mada,
Unadhani kwanini TFF hupenda kupeleka fainali za FA kwenye mikoa ambayo soka lake liko chini kuliko mikoa mengine?
Yaan hufanyika mara nyingi kwenye mikoa ambayo haina timu ligi kuu, au Ina timu chache kwenye madaraja ya juu
CC LubengeraTFF ilishatoa ufafanuzi kuhusu fainali za FA kupelekwa mikoani, lengo ni kuhamasisha michezo kwenye mikoa ambayo ipo nyuma kimpira, pia ni kwa ajili ya maendeleo ya viwanja ,maana sehemu ambayo fainali ya FA hupangwa ukarabati wa viwanja hufanyika
CC LubengeraKwa nini Kombe la Dunia lilipelekwa Qatar, Japan/South Korea, USA, South Africa badala ya kila siku kufanyikia kwa magwiji wa mpira duniani kama Brazil, German na France?
Simba hakuwa mwenyeji wa ufunguzi huo bali ni TFF ambaye ndiye mwanachama wa CAF, ambayo pia ni mwanachama wa FIFA.Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa ujumla ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa AFL.
Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba wenyeji wa ufunguzi, na sio kwa hizi timu kubwa barani Africa kama
1. Mamelody
2. TP Mazembe
3. Al Ahly
4.Esperence.
Kwani ikijibu tatizo liko wapi?Kama ulipitia na kutoona sababu inawezekana lugha inakupiga chenga
NifahamisheKama haujui jibu hiki kioja ukichokiandika wewe siyo mtu wa mpira, bora uende kwenye rede.
Ndio maana Genta hua anakutukana huna akili"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
FIFA + CAF ni kundi la wasela wasiotaka kutoka madarakani, maana pale wanajitawala na kula zaidi ya urefu wa kamba, hivyo wanajifanya kuwafurahisha kila pande za dunia ili wasikose kura kwenye uchaguzi. Kanuni kuu ni kula sana pesa na hawaingiliwi na mahakama za kiraia, hivyo wamejitengezea ka ufalme kao na vyama vya soka ni mashost wao wakubwa.Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa ujumla ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa AFL.
Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba wenyeji wa ufunguzi, na sio kwa hizi timu kubwa barani Africa kama
1. Mamelody
2. TP Mazembe
3. Al Ahly
4.Esperence.
Utoto raha sana yaani umepitia na hujazijua sababuKwani ikijibu tatizo liko wapi?
Watu wamevurgwa sana, hawana lugha za staha.Ndio maana Genta hua anakutukana huna akili