Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Sasa kwnn wasicheze tff??Simba hakuwa mwenyeji wa ufunguzi huo bali ni TFF ambaye ndiye mwanachama wa CAF, ambayo pia ni mwanachama wa FIFA.
ISIWE fainali tu mechi za robo na nusu fainali na mshindi wa tatu nazo zije mikoaniTFF ilishatoa ufafanuzi kuhusu fainali za FA kupelekwa mikoani, lengo ni kuhamasisha michezo kwenye mikoa ambayo ipo nyuma kimpira, pia ni kwa ajili ya maendeleo ya viwanja ,maana sehemu ambayo fainali ya FA hupangwa ukarabati wa viwanja hufanyika
Son of a bitch"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Leo tutawazomea huko Cairo wakati mnapigwa khamsa..!!"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Duh!Son of a bitch
Fainali, sio ufunguziNje ya mada,
Unadhani kwanini TFF hupenda kupeleka fainali za FA kwenye mikoa ambayo soka lake liko chini kuliko mikoa mengine?
Kwa hiyo wangeweza hata kwenda kufungulia Lesotho?Simba hakuwa mwenyeji wa ufunguzi huo bali ni TFF ambaye ndiye mwanachama wa CAF, ambayo pia ni mwanachama wa FIFA.