Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

Wakuu habari za uzima?

Wengi tunafahamu simba ni mfalme wa nyika na anapo unguruma wanyama wengi hukimbia mbali nae.

Kwanini simba huyu mwenye nguvu na spidi hawezi kufua dafu kwa fisi mnyama mdogo kiumbo?

Wataalamu Embu mtupe elimu kama ni kisayansi au kwa namna yoyote tujifunze.
Hizo stori mlipiga kijiweni nini mkuu?
 
Wewe humjui simba. mara nyingi ukiona simba katimka mbio, jua pale kuna fisi sio chini ya 10, ila ukiona wawili watatu wanne, simba huwa anahakikisha kaua sio chini ya mmoja. simba akiua mnyama, fisi akitokea huwa anaacha hadi msosi anamfukuza fisi hadi amuue ndio arudi kula. mnyama pekee mwenye uwezo wa kumshinda simba, wa kwanza ni binadamu, na wa pili ni Tiger. na tiger ni kwasababu umbile lake ni kubwa kuliko simba na anajua sana kupigana kuliko hata simba. wengine woote hata tembo, simba huwa analala usingizi mzito anajua hakuna mjinga yeyote atamsogelea. pia, msikie simba kwenye tv tu, ukiwa karibu naye, anatisha kuliko unavyoweza kuongea. ni hatari hasa umkute yule umri mkubwa ni hatari hadi hali ya hewa inabadilika.
Simba huwa anatisha aisee ni kama shetani hiv halafu akiunguruma pori Zima kimya

Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
 
Mnamuongelea simba gani? Huyu wa we zombe haujuii simba la masimba dangote, au mikia fc? Ila kama mnamuongelea myama wa polin hakuna myama mwoga kama simba juz natoka zangu chaka nafika sehem nakuta simba anakuja spid nikasema watishe hao hao hapa umefel mi nikasimama akaja akapiga break nikaanza kumkimbiza yeye alinikimbia kama kuku nikasema rudia tena siku zingine,, dangote we zomb simba la masimba haujui
 
Wewe nae sikakuwekea video hapo simba anafukuzwa na fisi au ujaona?
Yeye anataka kujua kwann iwe hivo
Okay fisi pia ni KANIVORA kwahiyo wanapokuwa wengi lazima iwe noma.

Hata wild dogs pia hukinukisha wakiwa wengi
 
Back
Top Bottom