chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?
Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.
Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?
Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?
Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majirani mbwa nyie