Kwanini Simba ndio wanufaika wa Penati na Wapinzani wao kuoneshwa Kadi Nyekundu?

Kwanini Simba ndio wanufaika wa Penati na Wapinzani wao kuoneshwa Kadi Nyekundu?

chama konokono

Senior Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
103
Reaction score
226
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?

Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.

Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?

Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?

Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majirani mbwa nyie
 
Labda sijakuelewa. Una maana kwamba kama refa kwenye mechi nyingine hakutimiza wajibu wake, basi na refa atakayechezesha mechi inayohusu Simba naye asitimize wajibu wake? Hizi ni akili za wapi?
Kwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa...
Usiweke hisia mbele kuliko uhalisia. Je, penati ni halali au sio halali? na ile kadi ni halali au sio halali?!
Ukiweza kujibu hayo tunaweza kujadili mada yako.

Kwa kukumbusha tu, msimu jana Yanga ni timu iliyofanikiwa zaidi kwa makosa ya waamuzi mpaka kupelekea takribani waamuzi watatu kufungiwa kwa maamuzi ya utata.

Lakini hilo halifanyi kusema Yanga sio bora kiwanjani.
 
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa...
Waambie Yanga waongeze bidii wasiskilize makelele ya wapinzani wao watapoteza uelekeo wawe focus na mazoezi na mechi zilizo mbele yao.

Na wew acha kulalama sana, punguza kihedemswede na kihororo, mambo yenu mbona yanawaendea vizuri tu..... timu bora ya wik CAF sio kitu kidogo
 
Ukiona mtu badala ya kupigania haki yake yeye anaumia kwa sababu mwenzake amepata haki yake, huyo ni mchawi kabisa wa kubeba tunguri.

Nilitegemea mleta mada angeuliza kwa nini baadhi ya timu zinanyimwa haki na waamuzi. Cha ajabu anashangaa Simba kupewa haki yake. Huu ni uchawi kabisa, tena sio wa kurithi, ule wa kuutafuta
 
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?

Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.

Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?

Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?

Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majilani mbwa nyie

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Refa wa Jana na wa Leo ni tofauti. Angekuwa yule yule Sawa. Japokuwa hoja yako kuhusu Romalisa ni sahihi.
 
Kwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwamba ligi nzima anaepewa penati ni simba tu? Na red huwa zinatoka kwenye mechi za simba tu? Nikwambie tu msimu uliopita YANGA alipewa penati kwa mchezaji aliyeshika nje ya box, vs Geita kule mwanza.
 
Refa wa Jana na wa Leo ni tofauti. Angekuwa yule yule Sawa. Japokuwa hoja yako kuhusu Romalisa ni sahihi.
Siku hizi unajistukiaa sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepunguza mahaba, ndo kwamba tujue uko neutral?? Woiiiiih
 
Back
Top Bottom