chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
Labda sijakuelewa. Una maana kwamba kama refa kwenye mechi nyingine hakutimiza wajibu wake, basi na refa atakayechezesha mechi inayohusu Simba naye asitimize wajibu wake? Hizi ni akili za wapi?... Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?
Kwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?Labda sijakuelewa. Una maana kwamba kama refa kwenye mechi nyingine hakutimiza wajibu wake, basi na refa atakayechezesha mechi inayohusu Simba naye asitimize wajibu wake? Hizi ni akili za wapi?
Usiweke hisia mbele kuliko uhalisia. Je, penati ni halali au sio halali? na ile kadi ni halali au sio halali?!Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa...
Ungemlaumu refa wa jana ungeonekana wa maaana!!Kwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Waambie Yanga waongeze bidii wasiskilize makelele ya wapinzani wao watapoteza uelekeo wawe focus na mazoezi na mechi zilizo mbele yao.Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa...
Wamechezesha waamuzi wale wale wa jana?Kwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Refa wa Jana na wa Leo ni tofauti. Angekuwa yule yule Sawa. Japokuwa hoja yako kuhusu Romalisa ni sahihi.Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?
Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.
Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?
Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?
Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majilani mbwa nyie
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwamba ligi nzima anaepewa penati ni simba tu? Na red huwa zinatoka kwenye mechi za simba tu? Nikwambie tu msimu uliopita YANGA alipewa penati kwa mchezaji aliyeshika nje ya box, vs Geita kule mwanza.Kwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Asiye na akili ndo anaweza kusema hivyo hata hivyo yanga wenye akili ni wawili tu.Jpili Simba ataga michuano ya caf Moja kwa Moja
Bado hujasemaa, yaan had usemeeeKwamba Simba ndio wawe wanufaika wa maamuzi sahihi? Wengine wanyongwe tu? Hizi double standard paka lini?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Siku hizi unajistukiaa sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Refa wa Jana na wa Leo ni tofauti. Angekuwa yule yule Sawa. Japokuwa hoja yako kuhusu Romalisa ni sahihi.