Kwanini Simba ndio wanufaika wa Penati na Wapinzani wao kuoneshwa Kadi Nyekundu?

Acha makasiriko ya ujauzito,jifungue kwanza kisha uje jukwaani
 
Hiyo kadi nyekundu na penati mbona tulijua hata labla mpira haujachezwa?
 
Labda sijakuelewa. Una maana kwamba kama refa kwenye mechi nyingine hakutimiza wajibu wake, basi na refa atakayechezesha mechi inayohusu Simba naye asitimize wajibu wake? Hizi ni akili za wapi?
Huko Yanga wote hawana akili
 
Hana akili za kujibu hoja hizi,huyu uwezo wake ni kukariri kuwa Simba inabebwa tu.
 
Na WAJINGA kama Hawa ndio Huwa wanapewa kipaumbele Hapa JUKWAANI JJJF
 
Bahasha FC.
 
Hawa jamaa wanabebwa sana.., anzia ngao ya jamii, wanatia aibu!
 
Ila ile penati ilikuwa ni nyepesi sana. Mchezaji mwenyewe mpaka muda huu bado hana match fitness! Ameguswa kidogo tu, chali. Faulo kama ile ilikuwa ni ya kuipotezea tu.

Bora hata lile goli la kwanza la yule beki wa Coastal aliyepewa bahasha ya khaki, walau linatambulika wazi kuna nguvu kubwa ilishafanyika nje ya uwanja.
 
Jpili Simba ataga michuano ya caf Moja kwa Moja
Mimi naona anaweza kujitutumua na kuingia makundi. Ila baada ya hapo, sioni kama atafanikiwa kuongoza kundi, au kushika nafasi ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…