Kwanini Simba ndio wanufaika wa Penati na Wapinzani wao kuoneshwa Kadi Nyekundu?

Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?

Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.

Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?

Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?

Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majilani mbwa nyie

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Acha makasiriko ya ujauzito,jifungue kwanza kisha uje jukwaani
 
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?

Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.

Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?

Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?

Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majilani mbwa nyie

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hiyo kadi nyekundu na penati mbona tulijua hata labla mpira haujachezwa?
 
Labda sijakuelewa. Una maana kwamba kama refa kwenye mechi nyingine hakutimiza wajibu wake, basi na refa atakayechezesha mechi inayohusu Simba naye asitimize wajibu wake? Hizi ni akili za wapi?
Huko Yanga wote hawana akili
 
Usiweke hisia mbele kuliko uhalisia. Je, penati ni halali au sio halali? na ile kadi ni halali au sio halali?!
Ukiweza kujibu hayo tunaweza kujadili mada yako.

Kwa kukumbusha tu, msimu jana Yanga ni timu iliyofanikiwa zaidi kwa makosa ya waamuzi mpaka kupelekea takribani waamuzi watatu kufungiwa kwa maamuzi ya utata.

Lakini hilo halifanyi kusema Yanga sio bora kiwanjani.
Hana akili za kujibu hoja hizi,huyu uwezo wake ni kukariri kuwa Simba inabebwa tu.
 
Na WAJINGA kama Hawa ndio Huwa wanapewa kipaumbele Hapa JUKWAANI JJJF
 
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa?

Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala alichezewa faulo mbaya sana ila hatukuona Kadi Nyekundu, Clement Mzize amefanyiwa faulo nyingi tu ndani ya eneo la hatari hatukuona Penati.

Iweje inakuwa ni rafisi kuwapa Simba Penati na Wapinzani wao kupunguzwa?

Je Bodi ya ligi mnatoa maagizo kwa hawa marefa kutoa upendeleo wa wazi kwa Simba?

Safari hii hata ile robo fainal ya Caf mtaisikia kwa majirani mbwa nyie
Bahasha FC.
 
Hawa jamaa wanabebwa sana.., anzia ngao ya jamii, wanatia aibu!
 
Ila ile penati ilikuwa ni nyepesi sana. Mchezaji mwenyewe mpaka muda huu bado hana match fitness! Ameguswa kidogo tu, chali. Faulo kama ile ilikuwa ni ya kuipotezea tu.

Bora hata lile goli la kwanza la yule beki wa Coastal aliyepewa bahasha ya khaki, walau linatambulika wazi kuna nguvu kubwa ilishafanyika nje ya uwanja.
 
Jpili Simba ataga michuano ya caf Moja kwa Moja
Mimi naona anaweza kujitutumua na kuingia makundi. Ila baada ya hapo, sioni kama atafanikiwa kuongoza kundi, au kushika nafasi ya pili.
 
Back
Top Bottom